Kesi za uchaguzi 2010 zimefungwa?

pembe

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
2,150
Reaction score
717
Wana jamvi naomba kuwauliza wahusika na mambo ya sheria za uchaguzi. Tuliambiwa kesi zote za uchaguzi zitakamilika ndani ya mwaka mmoja baada ya uchaguzi!

Cha ajabu kuna kesi ya diwani wetu kata ya Kawe DSM iliyofunguliwa mahakama ya Kisutu lakini mpaka sasa hatujasikia iliishia wapi! Mara ya mwisho tulisikia imepelekwa mahakama kuu. Je kesi ya udiwani inapelekwa mahakama kuu? Najua kesi za wabunge ndio zinazungumzwa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…