Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Nov 1, 2010 #1 Kwa jinsi NEC wanavyozidi kuchelewesha matokeo naanza kupata picha ya uchakachauaji wa matokeo. As a result tunaweza shuhudia uchaguzi ambao utaibua kesi nyingi sana za kupinga matokeo. Nahisi harufu ya kesi kule Kilombero na Zanzibar pia
Kwa jinsi NEC wanavyozidi kuchelewesha matokeo naanza kupata picha ya uchakachauaji wa matokeo. As a result tunaweza shuhudia uchaguzi ambao utaibua kesi nyingi sana za kupinga matokeo. Nahisi harufu ya kesi kule Kilombero na Zanzibar pia