Kesi zaidi ya 834,732 za wanaume kudundwa na wake zao zimekuwa zikiripotiwa kila mwaka...!

Kesi zaidi ya 834,732 za wanaume kudundwa na wake zao zimekuwa zikiripotiwa kila mwaka...!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,421


Another side to domestic violence
By ELKA ZWICK
Special To The Tampa Tribune
Published: October 11, 2010
October is Domestic Violence Awareness Month. Across the nation, the news wires are filled with information on benefit events, such as "Walk A Mile In Her Shoes," "Break the Cycle"..."According to a Department of Justice study, men are victims of assault by their partners in approximately 36 percent of the reported cases in the United States each year. The disparity between the needs of those victims and the services available is large. The gap must be closed, and that can only be done through education, services and advocacy."



 
Last edited by a moderator:
dart-ad-child-support-divorce-paternity-mother-father-dad-mom-custody-lawyer-attorney-house-educational-center.jpg
 
Haya mambo yamekuwepo miaka mingi. Kama ambavyo wanaume wote si wanyanyasaji, vilevile wanawake wote si watawa. Katika suala la kuripoti unyanyasaji, ni hivi miaka ya karibuni tu wanawake wengi wamekuwa wakijitokeza kutoa taarifa za manayanyaso, na bado kuna wengi ambao huwa wanavumilia na kuficha kuwepo kwa manyanyaso hayo.

Na bado kuna urahisi zaidi kwa mwanamke kushitaki kuwa unanyanyaswa, kuliko kwa mwanamume, sababu kubwa ikiwa ni ile ile ambayo tumefanywa kuiamini katika malezi, kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu na mwanamume ndio "kidume". Hebu Mkuu, umewahi kufikiria "scene" ya dume zima, baba la miraba minne, linakwenda kituo cha polisi machozi njia mbilimbili kushitaki mkewe anamnyanyasa?

Kwa kiburi cha wanaume, hata awe analazimishwa kufagia nyumba kwa kojoleo lake basi hatashitaki.
 
Back
Top Bottom