Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 364
- 468
Mifumo ya Demokrasia na sheria imeona mbali. Huwezi mshitaki rais aliye madarakani. Kesi nyingi zilizofunguliwa na mamlaka za kisheria za shirikisho (Federal cases) zinakufa zote.
Kesi zilizofunguliwa majimboni, kama New York na Georgia nazo hatimaye zitayeyuka.
Wenzetu CHADEMA wajifunze mambo haya ili waepuke kuwa wanaongea ongea sana kuwa viongozi walioko madarakani washitakiwe.