Kesi zilizokuwa chini ya wanasheria wa wizara,taasisi na mashirika ya umma zihakikiwe na ofisi ya AG

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
652
Habarini kwenu,

Nianze kwa kupongeza uamuzi huo wa kuwaondoa wanasheria wote kuroka wizarani,taasisi na mashirika ya umma kwenda kwa AG.

Kwa kweli napendekeza kesi zao zote walizokuwa wakiziendesha mahakamani au kwenye mabaraza na tume za usuluhishi wanyang'anywe na kupewa wanasheria waliopo kwa AG kwa sasa ili wayapitie mafaili yote upya kuanzia ushauri wao wa maoni ya kisheria hadi ufunguaji wa kesi husika.

Nasema hivyo kwa sababu wansheria wa wizara,taasisi na mashirika ya umma wengi wao wanafanya maamuzi ya kufungua kesi kwa mashinikizo na chuki au masilahi ya viongozi hao ambapo viongozi hao kwa 99.9% hawajui sheria au siyo wana sheria kabisa ukilinganisha na mawakili wa serikali ambako ofisi nzima kwa 99.9% ni wanasheria na wanaijua sheria na ushauri wote unaotolewa ni wa wanasheria.

Mfano mzuri ni pale taasisi fulani inakuwa na bosi wa mkoa ni mkutubi au mwalimu msaidizi wake wa mkoa ni mhandisi,wanaochunguza jarada ni mhasibu,hr na mgavi mwisho wa uchunguzi bosi anamuandikia mwansheria wa taasisi akimuelekeza aandike maoni ya kisheria na hati ya mashitaka kuwa kwa uchunguzi uliopo mtuhumiwa au mtumishi afikishwe mahakamani au kwenye kamati ya maadili na afukuzwe kazi kitu ambacho mwanasheria wa taasisi atafanya kama alivyoelekezwa kwa kumuogopa bosi wake siyo kuogopa taaluma yake ya sheria.

Kuna kesi nyingi tu watumishi wa wizara, taasisi na mashirika ya umma wanafukuzwa kazi kwa uonevu kwa ushauri wa wanasheria hao na bwatumishi wanaposhinda kesi CMA au Mahakama za juu utakuta bado viongozi wanawashinikiza wanasheria wa wizara,taasisi na mashirika ya umma kukata rufaa mahakama za juu zaidi dhidi ya watumishi husika kwa chuki zao au masilahi yao binafisi na baadae kuisababishia hasara kubwa serikali kitu ambacho Wanasheria wa serikali kupitia ofisi ya AG na viongozi wao hawako hivyo na hawana upendeleo kama tuhuma au kesi ni ya uonevu au taratibu zilikiukwa huwa wanaangalia ukweli na kutoa maoni yasiyo na upendeleo.

Mwisho nashuri hasa kwenye swala la watumishi kufukuzwa kazi au kukata rufaa dhidi ya wizara, taasisi na mashirika ya umma zimejaa fitina na chuki na uonevu hivyo ni bora ofisi ya AG ipitie upya migogoro na kesi zote zinazoendeshwa na wanasheria hao ili kuinusuru serikali na hasara kubwa inayoipata

Nawasilisha.
 
Kwani mkuu ili iwe kesi halali kutoka taasisi za serikali na mashirika ya umma ..inapaswa iweje!
 
Bandiko limeshiba.
 
Back
Top Bottom