Mkuu sky hiyo midubwasha ili niharisha mafuta nikaishiwa nguvu kabisaaaaaaaaaa Hali ikawa mbaya ikabidi nikimbizwe hospitali .kibaya sikupungua. nilipungua baada y kufanya mazoezi mepesi tu SI kwa kubugia hayoooHii ndiyo habari ya mjini, mlioijaribu tuelezeni matokeo.
View attachment 1144865
diet gani hiyo, tuelimisheMm kuna diet nmefanya nmepungua kilo 8 ndani ya mwezi mmoja na nusu
Diet ipiiMm kuna diet nmefanya nmepungua kilo 8 ndani ya mwezi mmoja na nusu
Unaitaka maana inahitaji furushi la maelezoDiet ipii
Ndio bestyUnaitaka maana inahitaji furushi la maelezo
Niliacha kutumiadiet gani hiyo, tuelimishe
safi sana, nami nitaleta mrejeshoNiliacha kutumia
-Soda/vinywaji vyote vya kiwandani
-Vitu vyote vinavyotengenezwa na ngano
-Wali
-juice yoyote ya matunda ya kutengeneza
-Vitu vyenye sukari nyingi (hii haikunisumbua maana hata mimi sivipendi)
Asubui nakunywa maziwa tu
Mchana nakula mboga za majani na ugali kidogo/Nyama ya kuku maana ya Ng'ombe pia niliiacha/Samaki
-Katika mboga siweki mafuta mengi
Usiku nakula Tango,Parachichi nalala
Katika kutwa yangu nzima lazima Maji lita2, machungwa mawili
Week1 tumbo lote likaisha .. nikivaa sasa hivi nakua kama nmevaa mkanda wa kubana tumbo
Toka kilo 70 mpk 62 now, najiskia mwepesi ajabu
Kuna nyingine unakula kuku, samaki au mayai ya kuchemsha pamoja na salad π₯ kwa lunch na dinner.Niliacha kutumia
-Soda/vinywaji vyote vya kiwandani
-Vitu vyote vinavyotengenezwa na ngano
-Wali
-juice yoyote ya matunda ya kutengeneza
-Vitu vyenye sukari nyingi (hii haikunisumbua maana hata mimi sivipendi)
Asubui nakunywa maziwa tu
Mchana nakula mboga za majani na ugali kidogo/Nyama ya kuku maana ya Ng'ombe pia niliiacha/Samaki
-Katika mboga siweki mafuta mengi
Usiku nakula Tango,Parachichi nalala
Katika kutwa yangu nzima lazima Maji lita2, machungwa mawili
Week1 tumbo lote likaisha .. nikivaa sasa hivi nakua kama nmevaa mkanda wa kubana tumbo
Toka kilo 70 mpk 62 now, najiskia mwepesi ajabu
Hii ndiyo habari ya mjini, mlioijaribu tuelezeni matokeo.
View attachment 1144865
Stress huwa zibanipa challenge sana. Nikiwa na stress ninakula na kunywa mpaka msala uishe ninajikuta niko kwenye 88-90 kg mbaya zaidi BP inakuwa juu lakini nikishuka kwenye 75-80 BP is normal.Aisee, kumbe sky ni tipwatipwa?!!ππ, tetema tu ili upunguze uzito.
Fanya mazoezi tu auntie, hayo madawa wazungu wameyatengeneza na kuyaleta huku as case study kwetu ili wajue efficacy zake kabla ya kwenda kutumia wao wenyewe, kumbuka waafrika tumefanywa Guinea pigs in this case for a long time.
Kuna vyakula vingi vya asili vinavyoweza kufanya kazi hiyo moja wapo ni kula mlenda nk.
LHii ndiyo habari ya mjini, mlioijaribu tuelezeni matokeo.
View attachment 1144865
Stress huwa zibanipa challenge sana. Nikiwa na stress ninakula na kunywa mpaka msala uishe ninajikuta niko kwenye 88-90 kg mbaya zaidi BP inakuwa juu lakini nikishuka kwenye 75-80 BP is normal.
Stress huwa zibanipa challenge sana. Nikiwa na stress ninakula na kunywa mpaka msala uishe ninajikuta niko kwenye 88-90 kg mbaya zaidi BP inakuwa juu lakini nikishuka kwenye 75-80 BP is normal.
Fanya ivyo baada ya week utanipa majibusafi sana, nami nitaleta mrejesho