Kevin Chuwang Pam proposed to Elizabeth Gupta!

upondaji kama huu balaa!
 
Don't hate, congratulate.. :becky: Big up yourself KELIZ.. :A S 8:
 
vuvuzela mombuto sesekoko hakuna matata ..... dont really know wat u guys are saying but i smell playinhaters in here , common dudes they are just gettin married!!! where is the love ya'll.

that 9ja boi...
 
Mshiriki wa mwaka jana wa Big Brother Revolution kutoka Tanzania Elizabeth Gupta, tarehe 21 August 2010 nchini Nigeria alivalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake ambae ndie mshindi wa Big Brother revolution ya mwaka jana Kevin Chuwang Pam kutoka Nigeria.

Wapenzi hao ambao walikuwa katika ukumbi wa Ogus Baba Laugh Goes On ambako hufanyika onyesho la comedy walipanda pamoja on stage kuperfom wimbo kwa pamoja unaoitwa 'unapata mambo'Walipomaliza kuimba Kevin akapiga magoti kwa Elizabeth na kumwambia "Elizabeth, will you marry me".
Ukumbini kulikuwa na watu takribani 2000 ambao walikuwa wakipiga kelele "say yes, say yes, say yes" ...Elizabeth akasema "Yes"
 
Haya mambo tena.Hii engagement isje ikawa kikomedi zaidi.lakn wanasema ya Ngoswe.......................
 
....duuuuuuh mbona kule mjengoni alikuwa ...staki nataka.....mara oooooh mi s-date na blacks...sasa nini tena? anakimbia unung'ayembe or wht?
 
....duuuuuuh mbona kule mjengoni alikuwa ...staki nataka.....mara oooooh mi s-date na blacks...sasa nini tena? anakimbia unung'ayembe or wht?

Nafikiri ni hivyo ni bora kuitwa divorced kuliko not married.
 
Alishasema hajawahi kudate na black, najiuliza kwa hii black kafuata nini, anyway tunawatakia kila la kheri.
 
Alishasema hajawahi kudate na black, najiuliza kwa hii black kafuata nini, anyway tunawatakia kila la kheri.

Teh teh teh teh mkuuuu kumbe wakumbuka hili kuwa hajawahi date na Black?? na kile kilichokuwa chafanyika BBA-House ndio ilukuwa si dating na sasa imegeuka kuwa kweli jamani dada zetu kwa mapooozi swaga fulu ful kibao kumbe ndio zao mmmmmh.

Poa lakini freeeshiii tu hongera zake.



Twamgoje huku atuletee shemeji yetu na Clouds FM-Radio wamwite tena kipindi cha Jahazi aulizwe yale yale maswali upya teh teh

 

wanaendana nawatakia maisha mema na mungu awajalie wazae watoto
 
Eliza umeshinda ile Big Brother - umeopoa mume kabisa! Hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…