BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Huyo dogo ni nyoko sana yupo vizuri.
M. City msimu huu Mwiba sijui kama utawezekana kung'olewa mapema
Ki ukweli mkuu KDB ameziba kabisa pengo la Toure ambaye umri umemtupa mkono.
Hulka ya binadamu kusifia wafungaji bila kuangalia watengenezaji wa mabao hayo. Kinachonifurahisha KDB si mtu mchoyo wala mpenda sifa
Nafikiri timu nyingine zisipokuwa makini Man City msimu huu atachukua kombe.
Mpaka sasa hakuna mpinzani
Nadhani hili lipo wazi.Nafikiri timu nyingine zisipokuwa makini Man City msimu huu atachukua kombe.
Mpaka sasa hakuna mpinzani
Kabisa mkuuNadhani hili lipo wazi.
hahaha sio kwa utani huuHuku kwetu tunamwita Ndanda Kosovo
well said mkuuKi ukweli mkuu KDB ameziba kabisa pengo la Toure ambaye umri umemtupa mkono.
Hulka ya binadamu kusifia wafungaji bila kuangalia watengenezaji wa mabao hayo. Kinachonifurahisha KDB si mtu mchoyo wala mpenda sifa
Ati YESU ????????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ile pasi iliyopita katika uchochoro wa mabeki hadi kwa yesu haikuwa ya kawaida. Ni kwa namna gani aliweza kumuona yesu katika nafasi ile...
Salute KDB..
Ukwel mtupu tokea juve yeye na Media!L
Labile media zinambeba sana
Mbona unawashwa washwa?Angalia avatar na uzee wako wote huo unabet ??
Maana England huyu mnyama amekuwa tishio kiongoziThubutu!!!! Nani atamng'oa___dawa yake only Barcaz
Gabriel JesusAti YESU ????????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pamoja na hayo haizuii kumpa KDB sifa zakeNakukumbusha, EPL INA culture yake. Tusubiri Disemba na msimu wa baridi kali