Kevin Durant anabadili tu mademu

Matokeo ya kubadilisha wanawake wengi kuna wakati wanajirudia kichwani, how beautiful they were and the good times you had with them. Unataka kurudisha wakati nyuma lakini haiwezekani. Binafsi sometimes nafikiria kama ningewakusanya wote wawe mtu mmoja halafu niwe nae lakini haiwezekani.

Moral of the story, usijione winner kwa kubadilisha mademu, one day it'll hunt you in your head. Karma is real.
 
Next season he will either be in NY or LA.

List itaongezeka zaidi.
Ikitokea hivyo itakua vizuri sana,maana inaweza saidia kuongeza competition katika NBA,pia itapunguza malalamiko yaliyopo kutoka kwa mashabiki wa timu zingine dhidi ya uonevu wa hii super team(GSW)
Ila kuna wakati nakuwa na mashaka kama Durant anaweza kukubali kuondoka GSW kirahisi,maana ushindi mtamu broh..!
Kuwa kwenye team inayokuhakikishia ring kila mwaka nayo ni moja kati ya ndoto za kila mchezaji wa NBA...
 

Kuna kelele kwamba KD anatakiwa awe na timu yake kwa ajili ya kutengeneza legacy, kwa sababu ana rings tayari nadhani anaweza kufanya huo uamuzi. Na sana sana anaweza kwenda NY.
 
Kuna kelele kwamba KD anatakiwa awe na timu yake kwa ajili ya kutengeneza legacy, kwa sababu ana rings tayari nadhani anaweza kufanya huo uamuzi. Na sana sana anaweza kwenda NY.
Ngoja tuone KD ataamua nini..!
Ila pia mahusiano na wachezaji wenzake wa GSW yanaweza kusaidia katika maamuzi yake..!
 
Ngoja tuone KD ataamua nini..!
Ila pia mahusiano na wachezaji wenzake wa GSW yanaweza kusaidia katika maamuzi yake..!

Of course, ndo maana kwenye sakata lake na DRaymond timu ilimbeba zaidi KD, na kama ulifatilia pia KD ndo mchezaji wa kwanza kufanya exclusive tour kwenye uwanja wao mpya. Sasa hivi anapewa VIP care.
 
Hiyo mboni kawaida tu kwa watu weusi.
Mboni huku kwetu haka kajamaa ka "Dawimondu" kanawabandua sana tu!
Hata wewe pesa ikikubari na kaumaarufu kidogo lazima utawatafuna kama karanga za "Dawimondu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhimu ni anafanya vzr katika timu yake basi hayo mengine ni maisha yake atajijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Wacha apige bana,ni muda wake....!

I wish I were him,I would eat all of em raw!

Goddamnit,fvck,eat all'ov'em!
 
On point.....✌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…