Kevin Hart marries Eniko Parrish in an Adam and Eve themed wedding!

Eniko ni mzuri, Hart kapata kifaa mana wameanza muda japo walikuwa wanafanya siri ila badae wakaamua wajiachie
 
Yahh...sahv ni 6+ years of dating....na Engagement ilikuwa 2014, bongo muda ukiyoyoma hvo ujue ndoa hakuna....tehteh
Ah kibongobongo ushapigwa vijembe kibao....mpaka unaiona pete chungu.
 
jamaa huwa anafanana sana na watoto wake..!!ila sura yake imekaa kibongo bongo
 
hakika huu mwaka wake...box office hit after hit....and to top it off, the bombshell is formally his.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…