Huyu mwanaume alivyo na krosi dongo, Mukwala au Fungafunga washindwe wenyewe.
Mechi moja tu ya Kijiri inatosha kumpeleka Stars.
Mbavu hii haina tofauti na ile mbavu ya kulia ta Mamelodi.
Kijiri kwa namna anavyoupiga mwingi namfananisha na marehemu Rafael Paul ama RP ingawa RP alikuwa mnene na mfupi.
Moja ya sajili za maana kabisa zilizofanywa na Simba msimu huu.
Mwingine ambaye namkubali ni Yussuf Kagoma.
Bado Awesu Awesu, huyu ni fundi Mwingine ambaye anapaswa kuwepo pale Simba.
Dah am very very very happy today for this signing