Kevin Rudd: New Australia's Prime Minister

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Posts
3,236
Reaction score
669
Australia got a new Prime Minister Kevin Rudd

Labor wins in Australia a big blow to J. Howard party who lost even his Sidney seat. More to come.
 
Australia got a new Prime Minister Kevin Rudd

Labor wins in Australia a big blow to J. Howard party who lost even his sidney seat. More to come.


Nadhani hii itakuwa big blow kwa Bush na washirika wake..manake huyu Howard ndo alikuwa mshirika wake mkubwa...nadhani uyo Kevin ameshinda kutokana na kuahisi kusign the Kyoto Protocal na kuwarudisha wajeshi nyumbani...ndo kushindwa kwa vita dhidi ya ugaidi?
 
Jamani haya mambo ya kuweka watu roho juujuu na vichwa vyenu vya habari mbona mtaua watu wenye presha?

Jamaa mmoja aliweka kichwa cha habari " Raisi ajiuzulu" kuja kusoma habari nikakuta habari inasema Raisi wa chama cha wazoa takataka wa jiji la Timbuktu amejiuzulu wadhifa wake. Aah jamani.
 
Labor Sweeps Australian Elections
Conservative Power Loss Expected To Mean A Withdrawal Of Aussie Combat Troops In Iraq



Opposition Labor leader and election victor, Kevin Rudd
and his wife, Therese Rein, cast their votes in Rudd's home
electorate of Griffith in Brisbane, November 24, 2007.
(GETTY/AFP/Torsten Blackwood)

Nafikiri J Howard yuko Uganda kwenye mkutano wa Commonwealth. Ndiyo mambo hayo ya politics.
 
Inaonyesha ukomavu wa kisiasa. Afrika bado tupo mbali
 
Nice....wale wote walio-support war on terror blindly wanapukutika mmoja baada ya mwingine. Ilianza Spain hii kitu na bado inaendelea, Musharafu akiitisha uchaguzi ata mwagika vibaya sana!!!.
 
Teh teh teh,Museveni hapo Uganda ataozea madarakani.Kibaraka namba 1 wa marekani
 
1. Democrasia ya kuiga ndo shida yake- sidhani kama inatufaa Afrika!

2. Najiuliza Mrema- yupo Tanzania Labour Party (TLP)- anawakilisha maslahi ya Wafanyakazi Tz kama ilivyo Labour Party UK au Australia? Au Labour Party ni jina tu kama mengine?
 
Nilipoona kichwa cha habari hii nilidhania kuna nchi mpya inaitwa New Australia na kwamba imepata Waziri Mkuu, kumbe...
 
Kevin Rudd amedhamiria kuifanya Australia republic na kum-dump queen Elizabeth The II kama mkuu wa nchi yao ingawaje hajatoa time table.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…