Si nilikwambia kaka. Wabeba mabox hata kiswahili wanajifanya hawakijui.
Hivi huu upendo uliopitiliza kiasi hiki mmeutoa wapi? Why are you so concerned na maisha magumu kama mnavyodai ya hao so called "wabeba box" kuliko hata mama na baba zenu wasiokua na maji safi wala umeme vijijini huko? Hebu acheni hizo!
haha! unanikumbusha kuna beach boy mmoja hapa zenji anaongea dialects kama tano za kitaliano na spanish zaidi ya dialect 2,wahusika wakimwona huchanganyikiwa kwa huyo dogo! kuna mama mmoja mtaliano sasa kampa ajira rasmi kama head guide wa wageni wake !Ha ha ha ha, wanatishia kuchanganya kizungu na kijerumani ili kutushtua kuo wako mbaaaaaaaaali, kumbe wote sawa tu, kwa taarifa yake ukienda kwetu moshi mapota wanapandisha milima wazungu wanakiongea kuliko hata wazungu wenyewe LOL!
Hahahaha imenibidi nibaki nacheka tu.Hahahahaaa duuuh!
Komredi tumetoka mbali aisee!
Heheheheh mpwa hii makitu ya siku mingi sana asee....mpwa buana unaanzisha vita kunitegemea mm?shauri yako cheka kafungwa sijui nani atakuokoa