Dah ukilewa au ukivuta bangi usi comment, angalia ulichoweka. Final score 3:0 halafu kwenye info kuna magoli mawili kwa Simba na kadi nyekundu kwa Chama huku Al Ahly ukawapa goli moja kwenye infoView attachment 2942402wameyakanyaga round hii[emoji1787]
Jambo ambalo litawafanya watu wakose sababu kuwa kwavile fulani hakuwepo.Kule Mamelody vijana wote ni buheri wa afya
Acha kukurupuka na wewe kama kuku aliyekatwa kichwa na kuachiwa,huoni kwamba hilo goli la El shanawy ni own goal🤔🤔Dah ukilewa au ukivuta bangi usi comment, angalia ulichoweka. Final score 3:0 halafu kwenye info kuna magoli mawili kwa Simba na kadi nyekundu kwa Chama huku Al Ahly ukawapa goli moja kwenye info
Hao sio Medeama ndugu yangu.Jambo ambalo litawafanya watu wakose sababu kuwa kwavile fulani hakuwepo.
Basi mpira umeanza kufatilia juzi au hujui mpira, hilo goli la El Shanawy umeliweka upande wa Simba au Al Ahly?Acha kukurupuka na wewe kama kuku aliyekatwa kichwa na kuachiwa,huoni kwamba hilo goli la El shanawy ni own goal[emoji848][emoji848]
Unakumbuka uliongea nini kuhusu Belouizdad dhidi ya Yanga na nini kikatokea? Upe mpira heshima yake, ni mchezo usiotabirikaHao sio Medeama ndugu yangu.
Kushinda hiyo mechi sio rahisi kama unavyodhani.
Unafikiri bahati ya asilimia 1 ndio yakunifanya niache kuongea ukweli kuwa mwenye 99 anauhakika wa kushinda?Unakumbuka uliongea nini kuhusu Belouizdad dhidi ya Yanga na nini kikatokea? Upe mpira heshima yake, ni mchezo usiotabirika
HATUDANGANYIKITakribani Wachezaji wa 4 wa Al ahly Kuikosa mechi ya mnyama mkali kwa mkapa,
Wachezaji hao ni
Al shahat
Ashour
Dieng
Yesser Ibrahim
Unaambiwa Bench la Ufundi la Ahly limechanganyikiwa, wanasema kuikabili simba kwa mkapa hasa ukiwa hauna key player ni ngumu sana,hasa wakivikumbuka vipigo vya hivi karibuni vya horoya na jwanengView attachment 2942386
Wewe ni mganga au ni Mungu unayejua kuwa Mamelod wana asilimia 99 ya kushinda? Au wewe ndio unayecheza uwanjani?Unafikiri bahati ya asilimia 1 ndio yakunifanya niache kuongea ukweli kuwa mwenye 99 anauhakika wa kushinda?
Huyu aliambiwa ajifanye kaumiaTakribani Wachezaji wa 4 wa Al ahly Kuikosa mechi ya mnyama mkali kwa mkapa,
Wachezaji hao ni
Al shahat
Ashour
Dieng
Yesser Ibrahim
Unaambiwa Bench la Ufundi la Ahly limechanganyikiwa, wanasema kuikabili simba kwa mkapa hasa ukiwa hauna key player ni ngumu sana,hasa wakivikumbuka vipigo vya hivi karibuni vya horoya na jwanengView attachment 2942386
Kwenye football Siku zote timu bora ndio inayopewa nafasi kubwa.Wewe ni mganga au ni Mungu unayejua kuwa Mamelod wana asilimia 99 ya kushinda? Au wewe ndio unayecheza uwanjani?
Haya njoo na list ya makapuni ya kubeti iliyothubutu kumpa Mamelod asilimia kubwa ya ushindi mbele ya Yanga.Kwenye football Siku zote timu bora ndio inayopewa nafasi kubwa.
Mamelody ni timu bora dhidi ya Yanga. Karata ya ushindi lazima iende upande wa Mamelody.