Please wadau naomba msaada wenu.
Nimekuwa natumia office 2010 ila leo imeroga hivyo naamua kuiondoa na kuiweka tena ila nimekosa key.
Please nisaidieni ndugu zangu maana documents zangu hazitafunguka bila microsoft office ya 2010.
I always gets solution in Jf.