Keyboard ya laptop ime lock-plz help

Keyboard ya laptop ime lock-plz help

Kimori

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2008
Posts
213
Reaction score
25
Hello JFM Nina laptop yangu Toshiba leo nimeiwasha ikawaka lakini eneo la cursor movent pamoja na key board havifanyi kazi, nimeweka mouse inafanya kazi ila keys hazifanya kazi. Naomba msaada tafadhali.
 
Jaribu kurestart, ukiona bado-angalia kama drivers esp za keyboard km ziko shwari (panyakulia-mwanzo-panyakulia kompyuta yangu-mambo yake(properties)-vifaa vigumu(hardware)-mkuu wa vifaa (device manager). ukiona alama ya kiulizo kwenye kifaa kimojawapo hapo angalia kwa undani

drivers unaweza kupata kwenye website ya manufacturer wa hy pc yako
 
Back
Top Bottom