This is the best technique I have ever heard, in terms of effectiveness in fooling keyloggers.
Sema sasa kama ukifikia kufanya hivyo, ujue kuna vitu vingi haviko sawa na security strategy yako.
And be warned: it can make your computing experience extremely painfully boring. 🙂
logg-in to online banking website
Wanaopenda kuona keyloger ikifanya kazi, download hiyo program, click start, halafu endelea ku type. Click stop when u r done.
Baada ya kuhakikisha kwamba inafanya kazi, scan it with your best antivirus/antispyware. Uwezekano mkubwa itakwambia ni clean.
Sasa ambaye bado anaamini antivirus yake huwa inamsaidia kudetect keyloggers zote, pengine abadili kidogo mtazamo wa usalama wake.
Na yule anayeweza kwenda cafe na kugundua kwamba kuna keyloggers, he is one lucky smart person.
Ila nasikia ukisali vizuri kabla hujatumia computer, keyloggers wana sizi ... sina uhakika tho ...
Yep. Hapo nimetumia SetWindowsHookEx ambayo pia inakuruhusu ku-capture mouse events, na vingine.Hata characters nilizo-type toka kwenye On-Screen Keyboard imezinyaka. Creating a keylogger that can capture stuff that are on clipboard should also be easy.
Ujanja kufuata "best practises" kuhakikisha keyloggers haziingi kabisa kwenye computer yako. Bila kutumia "one time passwords" to login into your bank website account, hesabu maumivu.
Nakujibu kwetunikwetu Kama internet Cafe Wameweka (keyloggers e.t.c) wewe usiogope kufunguwa Email zako kablya ya kufunguwa Email zako Weka kwenye hiyo Computer Super Anti-Spyware kisha i Scan mpaka imalize kisha wewe ndio ufunguwe Email zako hawata kupata Siri zako utakuwa umeshaiondowa hiyo (keyloggers e.t.c) Waliyoiweka kwenye hizo internet Cafe Kui Download Super Anti-Spyware Bonyeza hapa SUPERAntiSpyware.com | Remove Malware | Remove Spyware - AntiMalware, AntiSpyware, AntiAdware!
ijuwe Super Anti-Spyware
https://www.jamiiforums.com/members/kwetunikwetu.html
- Detect and Remove Spyware, Adware and Remove Malware, Trojans, Dialers, Worms, KeyLoggers, HiJackers, Parasites, Rootkits, Rogue Security Products and many other types of threats.
- Light on System Resources and won't slow down your computer like many other anti-spyware products. Won't conflict with your existing anti-spyware or anti-virus solution!
- Repair broken Internet Connections, Desktops, Registry Editing and more with our unique Repair System!
Keyloggers zimeadvance sana sikuhizi, kikubwa kaa mbali na website za porno.Old is GOLD
HakikaKeyloggers zimeadvance sana sikuhizi, kikubwa kaa mbali na website za porno.