Tetesi: KFC kufungua mgahawa Katavi

Tetesi: KFC kufungua mgahawa Katavi

Mtaani kwetu mku
Eti mtu akila kidali kwa buku jero na kipaja kwa buku ndo MNENE hahah
Ivi vingine ni jero jero tuuh
Kidali buku jero ni cha panya au, kipaja cha buku ni cha panzi? Acheni masikhara mkuu tuoni pesa mle vizuri🤣
 
hiyo KFC kwa ajili ya wanyonge labda kwa Ulaya, Ila hapa ni kwa ajili ya watu wenye uwezo, kipande cha kuku hata robo hakifiki unauziwa buku 10.
 
Back
Top Bottom