KFC yamponza mzungu!

Mkuu, tumia lugha fasaha basi! ......si wote tunaoishi Kimanzi!
 
aaah....sasa mimi hayo mambo ningeyajulia wapi...wewe ungesema MKC (matongee kuku choma) ningekuelewa
There you go, hahaha!🙄
 
KFC ni hiyo Kentucky Fried Chicken na kopo lake ni hilo hapo kabeba mzungu ila sijajua imemponza kivipi?
 
Afu mbona yupo na wamatumbi?? KFC ya wapi hii? Hii huenda imetengenezwa au ilikuwa kwenye mbilinge nyingine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…