ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
Yeah...!!
Aaah Aah Aah
Dar es salaam stand Up Again..
Kg song
Chuma.
Aaah Aaah Aaah
Verse.. 1. ( chid benz).
Najulikana kama Ugali msingi na Secondari/ Boma primary mita chache na usawa wa Bahari/ Rashind Abdallah nyota kutoka kwa Allah /nipo hapa kama ishara Imara kazi fundi seremala sina masihara/ wanaopanda nawashusha kama konda wa Daladala/ sichoki kutafuta usiku na mchana kutwa/ asubuhi nikiamka nasali kisha naruka/ muziki kazi yangu na ndio pia stimu yangu/ So hatuwezi kufanana nafuata hisia zangu / ilala jina langu sichoki kulitamka nalala /"nawakirisha" ni mimi baada ya akili funguka/ am member na chupa mcheshi kama suka/uliowahi kaa na mimi wanajuta wakikumbuka/ mazuri na mabaya namnajua wanadamu wana haya Nawatuma nawaona kama malaya/ nishakuja taka chota ila nyavu zinavuja/ wasanii mmesahau mmetukuta mlipokuja / Toka kitambo nature hajui stori ya mgambo/ nilishakuwa star 🌟 mafiga mafilidi kijanapo / mimi leo hapo mjini najiona kama pambo / la kitambo kama mtambo na kigambo/Wakitambo kama mgambo/Na kigambo na skills
Niko hapo hapo
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202