Kha! Kumbe hata Watanzania wamefuata mahindi Malawi japo kimya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa jamaa Wabongo wanatunisha misuli eti hawataki kutuuzia mahindi maana wameboresha viwanda hivyo tunafaa kununua unga kutoka kwao, kumbe na wenyewe hawana hayo mahindi ya kutosha na kuna wakati wamefuata Malawi kimya kimya.

Jameni nchi yote hiyo ardhi kubwa yenye rotuba mnashindwa kulima mahindi ya kutosha, aisei Afrika tuna laana ya uzembe. Mlifaa kuwa mnauzia Afrika yote leo hii...
------------------------------------------------------

Admarc board chairperson James Masumbu confirmed that the two East African countries reportedly inquired if they could sale them maize to them as they face shortage of the grain.

Masumbu said Admarc referred Kenya and Tanzania to Capital Hill for a discussion at government level on the deal.

He said the decision to sell the maize will be made month-end of April after harvesting.

According to Masumbu, Admarc has 100 000 metric tonnes of maize in stock.

He said they would need to sell the maize to pay back the loans they got.
https://www.nyasatimes.com/malawi-sell-maize-kenya-tanzania-admarc/
 
Aisee waswahili balaa, linchi likubwa lakini maskini wa kutupwa, kazi kulialia mitandaoni na kubinua makalio pale insta![emoji3] [emoji191] , kumbe nao wamepiga foleni malawi wanaomba mahindi, bora yetu tunanunua maze
 
Sai ndiyo unawajua wanastori mingi saana licha ya ardhi waliyonayo na mabonde ya umwangiliaji
 
Nasema ss tukomae tu, nia tunayo na tutafika tu. Kapicha hapa kanaonyesha picha halisi,tz ndo lingedere likubwaa ila linaishia kututoa kupe na chawa na kuzikula[emoji3] [emoji191] [emoji191]
 
Hivi nyinyi mkojje kila saa mnawaza wabongo sisi mbona hatuwafuatilii ki hivyo?
 
Aisee waswahili balaa, linchi likubwa lakini maskini wa kutupwa, kazi kulialia mitandaoni na kubinua makalio pale insta![emoji3] [emoji191] , kumbe nao wamepiga foleni malawi wanaomba mahindi, bora yetu tunanunua maze
Kenyans ipo siku mtaimba kuisifu Tanzania. Inaanza kuwaacha nyuma. Hizi projects zetu zitasimama tu....mtaona tunamaanisha nini.

Nimewazoea wazee wa experiential marketing
 
Nasema ss tukomae tu, nia tunayo na tutafika tu. Kapicha hapa kanaonyesha picha halisi,tz ndo lingedere likubwaa ila linaishia kututoa kupe na chawa na kuzikula[emoji3] [emoji191] [emoji191] View attachment 533292
Hawa jamaa ni wanafiki wakubwa, wana njaa lakini inawauma kimya kimya,no wonder hukimbilia hapa kwetu na vibakuli kuomba omba
 
Hahahaha huo ndo umafia sasa tunaenda kununua mahindi wote alaff sisi ya kwetu tunatunza kwanza ili mkikosa pa kununua ndo mtakuja kupiga magoti tuwauzie unga hahahaha viva Magu naona unaendelea kuwakalia kooni anabana kila mnapojaribu kuhemea
 
daaaah..tanzania jamani..nani aliwaroga lakini.acheni kupanda majungu na fitina kwenye hiyo ardhi mnayokesha kuitaja hapa na muanze kukuza vyakula jamani..hii ni aibu
 
Hahahaha huo ndo umafia sasa tunaenda kununua mahindi wote alaff sisi ya kwetu tunatunza kwanza ili mkikosa pa kununua ndo mtakuja kupiga magoti tuwauzie unga hahahaha viva Magu naona unaendelea kuwakalia kooni anabana kila mnapojaribu kuhemea
mutanunuaje ilhali budget yenu hairuhusu. wacheni wenye pesa waongee. nyinyi endeleeni kula viwavi jeshi na kushindia uji wa m'buyu
 
Pole sana mnaomba iwe hivyo japo haitatokea hiyo ni Habari ya 2012 na hicho kiasi hata kuhudumia mkoa hakitoshi.
 
Hahah the thing is whatever Kenya buys from Malawi or Kenya will not pass across Tanzania land or space
 
Wewe fuata link usome kama umetulia, habari ni ya mwaka huu. Fuata hapa
https://www.nyasatimes.com/malawi-sell-maize-kenya-tanzania-admarc/
Japo hii Habari nayo ni ya April hata kabla ya harvesting lakini pia wanauza ili kulipa madeni yao yaani wanauzia shida.

Nimependa hizo traffic ads well-done to Tanzanian Tourist Board nimekua nikikutana na [HASHTAG]#VisitTanzania[/HASHTAG] in so many media platforms in different locations around the globe good jobs
 
acha propaganda wewe mmekalia propaganda nakujifia tu shame on u
 
Towarda election it seems Uhuru is hardly doing campaign n the only way is to try to drag Tanzania into his hunger situation via using a comparative propaganda that is if Tanzania that feeds us is having food shortage then who to blame !
 
Aisee waswahili balaa, linchi likubwa lakini maskini wa kutupwa, kazi kulialia mitandaoni na kubinua makalio pale insta![emoji3] [emoji191] , kumbe nao wamepiga foleni malawi wanaomba mahindi, bora yetu tunanunua maze

Sai ndiyo unawajua wanastori mingi saana licha ya ardhi waliyonayo na mabonde ya umwangiliaji

duh! ndio wale walio na shibe pia wanakimbilia mahindi ya Malawi? heri sisi wenye njaa...
Nyie wakenya watu wa ajabu sana! Mnaleta hapa taarifa za uongo kutoka kwenye blogs af mnashangilia!

Haya someni hapa serikali ya malawi ikikanusha huo uvumi mliouleta hapa!

The Agricultural Development and Marketing Corporation (Admarc) has refuted reports that it has plans to sell maize to neighbouring countries.

Recent reports in the local media claimed that Admarc is in the process of selling maize to Kenya and Tanzania.

The media outlets claimed that Admarc wanted to sell the staple grains to recover some of the money it borrowed in order to buy maize at the height of the hunger crisis last year.

[https://i2]

No maize for sale, Admarc says.

While confirming being approached by neighbouring countries, Admarc board chairperson James Masumbu said Malawi will not sell maize soon.

“They have approached us, due to their situation just in case we had, but we don’t know if we are to have a surplus we are waiting for experts on the matter,” said Masumbu.

Admarc currently has 100,000 metric tonnes of maize in stock and this year Malawi is expected to have harvest a lot more.

Last year, Admarc was at the centre of a scandal in which some of its bosses were accused of conspiring to steal taxpayers’ money by buying maize from Zambia using a middleman.

Meawnhile, Admarc has suspended CEO Foster Mulumbe.

He had initially, denied any wrongdoing in the purchase of maize from Zambia, claiming that Malawi bought the maize from the Zambian government something which was contrary to statements by the Zambian government that the maize was bought from vendors.

No maize for sale - Admarc | Malawi 24 - All the latest Malawi news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…