Khaa! ..Hebu na Tujitambue...

.....nahisi ni evolution tu, au kama mafundisho ya kiimani yalivyotutabiria. U binadamu, haya na imani unatutoka...twarudia zama za 'mapangoni'....

Karibia tutakuwa worse than animals...
 
very true broda!
.....nahisi ni evolution tu, au kama mafundisho ya kiimani yalivyotutabiria. U binadamu, haya na imani unatutoka...twarudia zama za 'mapangoni'....

Karibia tutakuwa worse than animals...
 
Hilo ni wazo zuri sana Mbu.

Tatizo ni ukweli kuwa doa zinapovunjika kila mmoja anastory ya kujitetea. Hivyo hata yule ambaye alikuwa chita unaweza kukutana nae akakujaza uongo ukamuona ni victim kumbe ni source ya kuvunjika kwa ndoa yake. Nakwambia kazi kweli kweli. Tena wenye makosa wanajua kweli kujitetea.

kikubwa nikuwa na heshima mbele ya mwenyezi Mungu na mbele ya mkeo/mmeo tutafika na tutaishi maisha ya maana sana.
 
Hahahha What an improvement Mbu.......kweli nimeamini maumivu ya mapenzi hupoa.........from kutaka mtoto wa kike tu bila mama mtu to kufikiria kuoa tena. May Mwenyezi MUNGU akupe kheri Soulmate.
 
Hahahha What an improvement Mbu.......kweli nimeamini maumivu ya mapenzi hupoa.........from kutaka mtoto wa kike tu bila mama mtu to kufikiria kuoa tena. May Mwenyezi MUNGU akupe kheri Soulmate.

.....ameen....! but it is just a wishful thinking soulmate....kazi ni kumpata huyo ex-'heroine'....ambaye tuta fit makubaliano, viwango na vigezo vyetu (yeye na mimi) bana...maana waliowahi kuburuzwa mapenzini? aa, mbona wapo wengi tu!
 
...sawa kabisa! ....ndio maana kuna "her" story, "his" story and The Truth ambayo only "The Jury" can vote favourably to whom who'd present and defend well his/her case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…