Khaa! ..Hebu na Tujitambue...

Ngoja nikapike zangu chapati mie. . .
Wakija wale waukweli (wasioongozwa na vichwa vidogo) niite nisafishe nafsi kwa kuwasoma.

Ndo nshakuja bishanga,kanisome ukurasa wa nne wa thread hii.
 
Haya,leo mnaambizana mnapendana mnaleteana mahawara nyumbani.Kesho atalala nje halafu atakuambia"unajua mai waifu siku hizi nakupenda zaidi ya zamani ndo maana siku hizi siwaleti hapa namalizana nao huko huko"!. . .
 
Una akili nyingi sana wewe.
 
queenkami........kuna watu watakuja kukwambia hapa mwanaume hakosei ila mwanamke ndo anachangia!!
Ngoja waje.......

Kwani uongo?.... we kazi yako kuegesha tu halafu bishanga anampata aliyepitia unyago wa Zinduna we unadhani itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Haya,leo mnaambizana mnapendana mnaleteana mahawara nyumbani.Kesho atalala nje halafu atakuambia"unajua mai waifu siku hizi nakupenda zaidi ya zamani ndo maana siku hizi siwaleti hapa namalizana nao huko huko"!. . .
 
Nuksi gani?
 
umewahi sikia 'i f.u.c.k.e.d her,but i only make love to you'?????
 
Mtu kawezi kumpenda mkewe halafu akafanya uzinzi na mwanamke mwingine!Yoyote anaempenda mkewe atamheshimu na hataweza kumpa haki ya mkewe mwanamke mwingine!

Unasema?
 
Hivi nduguzanguni so called changudoa sio mwanamke?
Mbona tunamdhalilisha kihivyo?
 
Ngugu yangu gfsonwin,

Hapo umeongea kinadharia sana....Kiuhalisia, si mwanamke wala mwanamume anayeweza kuleta ukombozi wake bila kumtegemea mwenzake...Kudhani kwamba wanawake wanaweza kujikomboana peke yao ni jambo ambalo siamini kabisa kama linawezekana.

Itabidi nitawatafute wataalamu wenye shule zao wanielimishe!!

Hiyo sasa ndiyo hali halisi...Kudhani kinyume chake ni wishful thinking!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dahhhh
nashindwa kuelewa , Hivi kama unajua fika huyu ni mume wa mtu anafamilia yake,
unamfuata wa nini? Hii ya kwenda mpaka kitandani kwake imepita kiasi (disgusting)
ni aibu kwa kweli ..
 
Dahhhh
nashindwa kuelewa , Hivi kama unajua fika huyu ni mume wa mtu anafamilia yake,
unamfuata wa nini? Hii ya kwenda mpaka kitandani kwake imepita kiasi (disgusting)
ni aibu kwa kweli ..

i missed you....
 
Nasikitika sana lawa za baadhi ya wachangiaji zinaenda kwa wanaume pekee... sikitiko!!!

Tendo si sahihi, kufnyia ndani ndio balaa, lakini je utalaumu upande mmoja?? nini maana ya kuchagua wa kulaumu?? tafsiri yake ni ipi kwa nafasi ya mwanamke to right the wrongs that men make if we eventually end up in blaming one party in such a crime??

Taratibu za jamii na hata sheria ziko wazi, kusaidia uhalifu ni uhalifu pia, lakini nadhani in our lives women have been on the loose when it comes to accountability..........

BINAFSI NTALAUMU WOTE, EQUALLY, KIBAYA ZAIDI NI PALE BINTI UNALALA KWA BWANA WA MWENZAKO TENA KITANDANI KWAO HALAFU KESHO UNAMSALIMIA NA MACHO MAKAVU NA KUMPA HUG, YET UNALAUMU MWANAUME
 
Dahhhh
nashindwa kuelewa , Hivi kama unajua fika huyu ni mume wa mtu anafamilia yake,
unamfuata wa nini? Hii ya kwenda mpaka kitandani kwake imepita kiasi (disgusting)
ni aibu kwa kweli ..

Karibu sana afrodenzi,

Tatizo ni kwamba haya mambo yapo na yanafanyika. Bahati mbaya tumekosa mdau ambaye aliwahi kufanya ili atupe ushuhuda,

Halafu wewe...hebu punguza kupotea basi...Au na wewe ulikuwa na mpango wa kumfuata Husninyo?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…