marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 443
Ninawashukuru wote kwa kurespond kwa namna mlivyorespond........ninaheshimu mawazo yenu na ninakubaliana na nyie kuwa wa kudeal naye ni MUME aliyekula kiapo. Ni kweli kabisa LAKINI kama activist wa haki na heshma ya Mwanamke, nikitaka kuraise awareness juu ya haki na heshma ya wanawake niegemee upande gani?
Mie mtazamo au side yangu iko kwa mwanamke aliyeletwa nyumbani, na si kwa mke aloibiwa penzi. Kwa nini kama mwanamke "decent" nikimaanisha si changudoa na wala hukuamua kuwa na huyu mtu kama mapozeo, kwa nini ukubali kutumiwa? ........................ kama kweli mwanaume huyo anazo guts akupeleke nyumbani kwake wakati mkewe wa ndoa yupo basi! Otherwise ni kujikubalisha kuchezewa na kutumiwa!
Kuna waloniuliza why sipambani na mume badala ya the Other Woman, yes ni kweli wa kupambana naye ni mume kama niko selfish (nia yangu ni kumprotect Mume wangu na ndoa yetu ambayo yeye mume hajaithamini) But kama am in pro- Sisterly love.kwa nini niruhusu mwanamke mwenzangu achezewe??
Sawa chezewa kwa kupelekwa hotelini/guest houses but kuletwa nyumbani kwa mwanamke mwenzio, tena akiwa hayupo???? I would give the credict kuwa wapendwa kidhati iwapo utapelekwa wakati mke wa ndoa yupo, then would mean that the man amekuchoose wewe instead of Madame and that will give you a bit of credit iwapo huko kibiashara zaidi
hivi huwa ni kuchezewa au kuchezeana, so waliolewa wenyewe wanachezewa kila siku kazi kweli kweli
wanawake na sex