Mwache mtoto mzuri Fide , ila hao male models angalia jinsi wanavyo pozi kama ma gays vile , ebwana Martin Kadinda , Van Kvn David hebu mkiwa kwnye pozi na wenzako please weka ukakamavu kidogo angalau , sio unaonekana umelegea na umesimama kama demu .
umependeza fide na hongera kwa kujiamini....:twitch:
Kujiamini kwa kuonyesha mijinyama a.k.a michellini na kufuli,hongera kwa kumpaka mafuta ya mgongo,"Fide umependeza',asanteumependeza fide na hongera kwa kujiamini....:twitch:
umependeza fide na hongera kwa kujiamini....:twitch:
HO IS SHE?
MALE OR FIMALE?
HAONEKANI SURA
SO HUWEZI KUJUA NI DUME AU JIKE?:laugh:
HO IS SHE?
MALE OR FIMALE?
HAONEKANI SURA
SO HUWEZI KUJUA NI DUME AU JIKE?:laugh:
Mbona haonekani sura aisee ndo nini hii kitu