Sasa kama akili zao wameziweka huku watapata wapi akili wanachojua ni kuwashwa tuView attachment 1174581
KARIOBANGI gani Hii Iliyo Tandikwa Na Vijana Wa Kinondoni?. (K.M.C)Yaani mikia fc wangecheza na KARIOBANGE ile shughuli yote ingeingia mchanga
Yaani,
Togwa lingeingia nzi,maana kariobange sio watu wazuri hata kidogo...
KARIOBANGI gani Hii Iliyo Tandikwa Na Vijana Wa Kinondoni?. (K.M.C)
Nime forward kwa Ismail Aden Rage.
kwahyo mechi yenu nyinyi makwasu kwasu au misalaba fc ilikua ya Michuano Gani?.Nyie mikia kariobange mmeshawasahau eeehh....
Hiyo ya kmc yalikuwa ni mazoezi,mechi gani inachezwa asubuhi😀