kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Si wewe mwenye "bikira yako" hahahahahahahnani mtoto?
Niliambiwa hivi.nani mtoto?
mkiitwa totoz hataki mkiitwa watu wazima hamtaki sasa muitweje!nani mtoto?
Ndio katika hao wengi ningewataja wote duuuh wasinge ishaUmemsahau Evelyn Salt , au hujamuona kwenye avatar yake??
Muulize vizuri,kusoma hajui hata picha haoni..nani mtoto?
duuuh kwa hiyo nimeingia chakaMajina yanakudanganya mkuu unajenga picha ambazo kiuhalisia si za kweli
Afu kaka Bilionea mbona wanifanyia hivo, hadi nimwage chozi ndo uelewe?Umemsahau Evelyn Salt , au hujamuona kwenye avatar yake??
ha ha ha haAfu kaka Bilionea mbona wanifanyia hivo, hadi nimwage chozi ndo uelewe?
Hizi ndo tarehe za.... 😀ha ha ha ha
Yaani wewe kwa kupenda kuwaga chozi kwa tarehe hizi za mwisho wa mwezi haujambo.
teh teh teh
Wacha weeNiliambiwa hivi.
"Kwakua mwanamke ametoka kwenye mbavu ya mwanaume siku zote atabaki kuwa mtoto kwako hata kama kakuzidi miaka 100, mlee na ujue anakutegemea kwa kila kitu"
cc DabyWacha wee