LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Kijana mtata Raia wa Urusi ambaye wiki iliyopita alijizolea umaarufu baada ya kumpa kipigo kikali Mu_Irish Thenotorius_Conor Mcgregor katika pambano la UFC 229,
pambano ambalo lilivutia wengi baada ya Khabib kutoa kichapo kikali kwa Thenotorius kitu ambacho kilimfabya Khabib kualikwa ikulu ya Urusi na Raisi Vladmir Putin kupewa Pongezi
Siku ya jana katika page ya Istagram Floyd Mayweather katangaza kuwa pambano litakalofuata ni kati yake yeye na Khabib ambalo litapiganwa katika ukumbi mkubwa wa Vegas, nae Khabis pia Alithibitisha katika akaunti yake ya insta pia kuwa pambano hilo litakuwepo lakini hapendelei lifanyike Vegas