Khabib_Nurmagomedov kuzichapa na Floyd Mayweather

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Kijana mtata Raia wa Urusi ambaye wiki iliyopita alijizolea umaarufu baada ya kumpa kipigo kikali Mu_Irish Thenotorius_Conor Mcgregor katika pambano la UFC 229,

pambano ambalo lilivutia wengi baada ya Khabib kutoa kichapo kikali kwa Thenotorius kitu ambacho kilimfabya Khabib kualikwa ikulu ya Urusi na Raisi Vladmir Putin kupewa Pongezi

Siku ya jana katika page ya Istagram Floyd Mayweather katangaza kuwa pambano litakalofuata ni kati yake yeye na Khabib ambalo litapiganwa katika ukumbi mkubwa wa Vegas, nae Khabis pia Alithibitisha katika akaunti yake ya insta pia kuwa pambano hilo litakuwepo lakini hapendelei lifanyike Vegas
 
Sasa watacheza Box za aina gani.
Wakati Mayweather anacheza Box za ndondi kavu za WBC, wakati Khabib anacheza Free Boxing zinazojumuisha na mateke, kabali na mieleka, zinazo endeshwa na UFC.
Kila mmoja ana mchezo wake anaoucheza.
 
Boxing

Kwani huyo aliyepigwa na Habib nae si alipigana na Floyd? Walipigana ngumi gani? Hapo ni Habib ndio ataacha sheria zake na kufata za floyd
 
Kwani huyo aliyepigwa na Habib nae si alipigana na Floyd? Walipigana ngumi gani? Hapo ni Habib ndio ataacha sheria zake na kufata za floyd
Mc Gregoli alianza na wapiganaji wa chini akawapiga na akapanda hadi kukutana na bingwa namba mbili wa UFC Khabib.
Lakini Khabib si inabidi naye aanze kupigana Box na mabondia wa chini na apande hadi kukutana na namba moja Mayweather ?
Sijawahi kumshuhudia Khabib akipigana Box halafu maramoja tu amrukie Floyd.

tim Khabib.
 
Conor hakuwahi kupigana Boxing.. Alikuwa UFC na pambano lake la kwanza la boxing ndio hilo alipigana na Mayweather
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…