Khaby 00 meme Nani anamuelewa?

Khaby 00 meme Nani anamuelewa?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba mnisaidie kumfahamu huyu jamaa wa insta anaitwa khaby 00 Mimi sielewi vituko vyake anaemuelewa atuelezee na historia ya maisha yake . Na uraia wake yeye anafanya vitu simpo vya kipumbavu .
 
Labla ndo yaleyale ya ukifa kwa msongo wa mawazo umejitakia mwenyewe
 
Naomba mnisaidie kumfahamu huyu jamaa wa insta anaitwa khaby 00 Mimi sielewi vituko vyake anaemuelewa atuelezee na historia ya maisha yake . Na uraia wake yeye anafanya vitu simpo vya kipumbavu .

Mimi namuelewa sana,nimemfollow insta

Japo mara nyingi hanichekeshi lakini mara nyingi style yake ya "kuchekesha" kimya kimya inaeleweka
Ana uraia wa Italy,ana 21
 
Binafsi vitu vyake vingi sivielewi kabisaaa Ila seems anapata umaarufu Sana insta.
 
Ana watu milioni 28 na laki 4 na ushee wanaom follow insta.

Kiba haingii ndani kwa huyu jamaa

Je kati ya kiba na huyu nani anaeleweka?
 
Kaby00 num

Kaby (00 nimetoka kumfolo juzi tu mwanzo niLikua simuelewi, iLa kuchekesha kwake ni kwa kuprove vitu vinavyoonekana hard kuwa simple,na ndo maana video zake ni za Kuunganisha mfano atachukua clip mtu anapanda ngazi alafu ye atapanda lift

k
 
Ana watu milioni 28 na laki 4 na ushee wanaom follow insta.

Kiba haingii ndani kwa huyu jamaa

Je kati ya kiba na huyu nani anaeleweka?
Huyo jamaa ana followers Insta kuliko Mark mwenyewe.

Ana followers Tiktok kuliko Tiktok wenyewe.

Tiktok na Mark wenyewe huwa wanaenda kukomenti kwa jamaa.

Tena Tiktok wenyewe huwa huwa wanakoment ...."This is your App.
 
Khaby00 anaeleweka sema asilimia kubwa wa insta mnapenda umbeya tu.
Yule jamaa anaeleza ujinga wa watu sijui ukichukua hiki wakati yeye hana kuonyesha uhalisia tu.

Watu wanapenda fake life,complicate life,jambo lisilo na tija yeye kakunyoshea kuwa hakuna jipya.
 
IMG_7622.jpg
 
Ana asili ya Senegal. Na ni raia wa Italia. Yupo vizuri
 
Naomba mnisaidie kumfahamu huyu jamaa wa insta anaitwa khaby 00 Mimi sielewi vituko vyake anaemuelewa atuelezee na historia ya maisha yake . Na uraia wake yeye anafanya vitu simpo vya kipumbavu .
Non fregga un cazzo per lui hai capito?
 
Back
Top Bottom