Khadija Kopa avamiwa na wahuni mtaani mara baada ya kukatiza na Mwanaume Shoga..!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa ameongozana na ‘mwaume aliyekuwa amevaa nguo za kike’.

Tukio hilo lilijiri maeneo ya Kariakoo, Dar wiki iliyopita ambapo vijana hao walianza kwa kuzomea wakitaka kumshika mwanaume huyo waliyedai alikuwa amevaa nguo za jinsia ya kike.

Alichokifanya Khadija ni kuingia kwenye gari na kumwambia dereva aondoke haraka kukwepa kufanyiwa vurugu huku mwanaume huyo naye akiungana na malkia huyo kuondoka eneo hilo.
Wakizungumza na GPL, vijana hao walidai kuwa Khadija alijiabisha kwa kuongozana na mwanaume huyo.

Khadija aliiambia GPL kuwa alishangazwa na tukio hilo lililomkuta na kusema kuwa mwanaume aliyeongozana naye ni mwimbaji mwenzake ambaye pia ni shemeji yake.

Alifunguka: “Hivi kuwa mwimba taarabu wa kiume ndiyo ushoga jamani? Au kuvaa kaptura ya kitenge ni tatizo? Mbona alikuwa amevaa mavazi mazuri tu ya kiume?”

Khadija alisema kuwa amewazoea mashabiki wake wa Kariakoo kwani huwa wakiwaona mastaa huwa na tabia hiyo na ndiyo maana walianza uzushi huku wakisema kuwa waimba taarabu wote ni wanawake, kitu ambacho si kweli.


“Sikuona sababu ya kuchukua hatua, nilikuwa najaribu kuwaelewesha lakini hawakunielewa, wakazidi kuzomea na kutuzingira ndiyo maana tuliamua kuondoka,” alisema Khadija.

Source: Global publishe
 
Onyo: Vijana wote mnaovaa vikaptura vyenu vya kubana mmelegeza makalio na viduku vyenu msipite Kariakoo. Mnaweza kubakwa huku polisi wanashangilia.
 
Mwanaume unaimbaje mipasho bwana,jina tu lenyewe mipasho wapi na wapi? yaani kabisa unarusha vidole juu na kusema haloo haloo! Kha!
 
Mtoto wa Kiume unavaa kaptula ya kitenge imebana Contours zinaonesha Miinuko na Mabonde kwny Matakko na Mapaja. Kuna Machinga wana ugwadu wa muda mrefu lazima wawasumbue wakiona
 
Hii mada inaonyesha ni ya mwaka 2013!! Mchangiaji wa kwanza ni huyo wa 20 minutes ago! Yaani leo tarehe 5-march 2016, kweli JF ni timeless!!
 
post ya kitambo... hawa mapunga wamekua ni gumzo hapa mjini maeneo yote ya starehe wamejaa kama sisimizi wakiwinda wanaume uchwara..kuna siku walipita anga zetu.. wakaanza kuleta za kizushi.. nakumbuka nilirusha ngumi meno manne ya shoga yalibaki kwenye mkono wangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…