Khadija Kopa Awapagaisha Wapenzi wa Njenje!.

Khadija Kopa Awapagaisha Wapenzi wa Njenje!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Katika haya na yale ya Jumamosi, nimepitia hapa Club ya Salender Bridge ambapo kila Jumamosi, wana Njenje hufanya vitu vyao.

Mwimbaji pekee wa kike wa Njenje ni Nyota Kinguti Waziri, leo sauti yake ina mushkeli, Mungu bariki kumbe bibie Khadija Kopa yumo ndani ya nyumba kwa raha zake!.

Ameombwa kuja kuokoa jahazi, hivyo Khadija Kopa akapanda stejini kuziba nafasi ya Nyota, kiukweli amewapagawisha wapenzi kuliko hata Nyota mwenyewe!.

My Take.
Huu ni ushirikiano mwema baina ya wanamuziki wetu!. Watu wa magazeti ya udaku kama wamo humu, msishangae yakiibuka na big headline "KHADIJA KOPA AHAMIA NJENJE?.
 
Back
Top Bottom