Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
uchaguzi huu hauitaji kua na sera wewe vaa tshirt ana fulana ya ssh na kofia tayari umefuzu kuwa diwani/mbungeOk, anasimamia sera gani?
Ni Kweli tupu uliloliandika.uchaguzi huu hauitaji kua na sera wewe vaa tshirt ana fulana ya ssh na kofia tayari umefuzu kuwa diwani/mbunge
Nyinyi Watanganyika munachokijua ni roho mbaya na starehe hata ukiuliza utaifa wake haitoleta maana badala yake upambane na ukafanye kaziNi mtanzania?
Hivi diwani wake bado ni yule mtoto wa Sophia Simba? Nadhani anaitwa Adinan Kondo.Ni Kweli tupu uliloliandika.
Ila hii kata Ina shida ndogondogo hazionekani kwa kuwa wakazzi wake wanajiweza....
miaka ya nyuma haikuwa hata na kituo Cha afya sijui miaka ya karibuni maana sijapata taarifa za huko miaka mingi sasa.
Shule zao za serikali zote zinajazwa na wakazi wa kata nyingine.....
.
.
.
Tunahitaji viongozi bora kwa maslahi ya jamii
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.Mdau wa Michezo nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa vijana kata ya Upanga Magharibi Khalil Ifn Karim amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani kata ya upanga Magharibi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3387383