Khaligraph Jones (OG) the best hiphop artist in Africa

in other way sie mashabiki pia huwa tunawakwamisha ccoz wakichana kiingereza tunawadiss kumbe ndo tunawakwamisha
 
in other way sie mashabiki pia huwa tunawakwamisha ccoz wakichana kiingereza tunawadiss kumbe ndo tunawakwamisha
Yah kweli kabisa. ila wao wafanye tu wasiangalie soko la ndani. Nilimsikia ONE akisema kwamba now kaamua kuchana kingereza tu.
 
Kiukweli jamaa mwenywe ku panic kwke kunaonesha hakustahili kupata Ile tuzo Bali alibebwa tu
 
Yes Bana.!!
My favourite song ATM.

huyu jamaa number nyingine.
Umeusikia instagram girls ?
Mimi nimemsikia huyu jamaa mara ya kwanza kwenye “ reaction video ya TFLA”
Tangu kipindi hicho namfuatilia.
Uongo mmbaya Huyu jamaa ni hatari.
 
Yes Bana.!!
My favourite song ATM.

huyu jamaa number nyingine.
Umeusikia instagram girls ?
Mimi nimemsikia huyu jamaa mara ya kwanza kwenye “ reaction video ya TFLA”
Tangu kipindi hicho namfuatilia.
Uongo mmbaya Huyu jamaa ni hatari.
Kitu kimoja nilichojifunza kwenye safari ya maisha yangu ni kwamba kukua ni taratibu. Unatakiwa ukaze
 
Kwa mara ya kwanza huyu jamaa nilimuona Kwenye msimu wa Coke Studio Africa 2017, alishangaza watu alipofanya cover ya R&B ya msanii Bruce Melodie “You Complete Me”.
 
Blaq - 9/10 OG 7/10


So far chalii Blaq ameongoza kwa...he played much better with words
 
Micasa Sucasa.

Sweet flavor from Mob Deep's version.

Respect Kali... Respect the OG!

-Kaveli-
 
Mex Cortez
Naamini waliobeza hii comment wameelewa sasa, kwa sasa mex ndiye rapper anayeiwakilisha vizuri Tanzania nje ya mipaka kuliko rapper yeyote. Kafanya wimbo katika mixtape ya CASSIDY, Ana collabo na mmoja kati ya marapper bora kwa sasa africa kutoka ghana anaitwa LYRICAL JOE na pia kaweza kuonesha uwezo wake kufanya diss tracks kali alivyobattle na rapper wa cameroon King Swaggz. Na kalighraph kasema mwana anaweza kuwepo kwenye KHALI CARTEL 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…