Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Mungu ibariki nyumba ya Yakobo

October 23, 2024

IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike

By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:12 am

A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli airstrike in northern Lebanon on Monday, the IDF says.

The military says Khalil Muhammad Amhaz, a member of Hezbollah’s aerial forces, known as Unit 127, which is responsible for drone attacks on Israel, was killed in the strike in the Hermel District.

The IDF describes Amhaz as a “central source of knowledge” in the drone unit.
 
Hivi hawa ndio wale Hezbollah tulioaminishwa Israel haiwafanyi kitu au kuna wengine?
Ndio hawa hawa mgema akisifiwa tembo hulitia maji, iko hivi Yahudi ukicharuana nae leo kesho yakaisha yeye muda huo huo anaendeleza game kimnya kimnya ajue nguvu yako,jeuri yako na wapambe wako wakati huo huo wenzetu katika Imani wao pigano likiisha kutwa vibarazani kunywa kahawa na umbea mwingi( hakuna mtu mbea kama mwarabu)
Muda huo wenzao wanawasoma kwa kina wao ni umbea tu ,sasa likija kuanza upya wao wanapigana kwa mazoea yale yale kumbe mwenzao ana data zote
 
lakini si anendelea kusheherekea nanii 72?
1000248409.jpg

Huyu kashazimaliza huko
 
Hivi hawa ndio wale Hezbollah tulioaminishwa Israel haiwafanyi kitu au kuna wengine?
Kipindi Israel hajaingiza majeshi Lebanon kulikuwaga na Ile piga nikupige kati ya Hizbullah na IDF.

Ilikuwa IDF wakilenga na kuua magaidi ya Hizbullah unawasikia raia wa Lebanon wanaandamana kwa mizuka wakiitaka Hizbullah ilipe kisasi mara ghafra unaambiwa ijumaa SG Hassan Nasraillah atatoa hutuba nzito Israel wajiandae kuchambia moto!!

Sasa hivi tunavyoongea Nasraillah Yuko zake kuzimu anahangaika na bikra za munyaazi Mungu, raia wa Lebanon waliokuwa wanaandamana wengi wamekimbia makazi Yao yaani tafrani tu ili mradi vurugu .
 
Back
Top Bottom