Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hivi hawa ndio wale Hezbollah tulioaminishwa Israel haiwafanyi kitu au kuna wengine?Takbiiiiiiiri kobazi chali
Ndio hawa hawa mgema akisifiwa tembo hulitia maji, iko hivi Yahudi ukicharuana nae leo kesho yakaisha yeye muda huo huo anaendeleza game kimnya kimnya ajue nguvu yako,jeuri yako na wapambe wako wakati huo huo wenzetu katika Imani wao pigano likiisha kutwa vibarazani kunywa kahawa na umbea mwingi( hakuna mtu mbea kama mwarabu)Hivi hawa ndio wale Hezbollah tulioaminishwa Israel haiwafanyi kitu au kuna wengine?
lakini si anendelea kusheherekea nanii 72?Takbiiiiiiiri kobazi chali
lakini si anendelea kusheherekea nanii 72?
Kipindi Israel hajaingiza majeshi Lebanon kulikuwaga na Ile piga nikupige kati ya Hizbullah na IDF.Hivi hawa ndio wale Hezbollah tulioaminishwa Israel haiwafanyi kitu au kuna wengine?
Sawa nitaanza kuleta na majina Yao kamiliMbona na makamanda wa Israel huwa hauleti wanaokufa? Au akili yako ilivyo ndogo unadhani wanakufa upande mmoja peke yao
Nadhan hata kiongozi wa Hesbolah alipiga propaganda kwamba Isra si lolote si chochote mpaka propaganda zake akaziamini kuwa ni kweli, kilicho mkuta anakijua mwenyewe🤣Hivi hawa ndio wale Hezbollah tulioaminishwa Israel haiwafanyi kitu au kuna wengine?
Nafikila hata huko alikoenda atanyimwa mabikraNadhan hata kiongozi wa Hesbolah alipiga propaganda kwamba Isra si lolote si chochote mpaka propaganda zake akaziamini kuwa ni kweli, kilicho mkuta anakijua mwenyewe🤣
Wamelambishwa udongoDuh,
Hao magaidi wa Hezbollah wangemwambia Ayatollah na genge lake waje wapigane wenyewe!
Wanaisha kwa vita ya kijinga..
View: https://x.com/JSchanzer/status/1845432898184179725?t=mnIextBfwFjB_MqvpR_vwQ&s=19
Kamanda gani wa Israel aliekufa? Israel imepoteza makuruta hawazidi30Mbona na makamanda wa Israel huwa hauleti wanaokufa? Au akili yako ilivyo ndogo unadhani wanakufa upande mmoja peke yao