Khama Billiat Vs Luis Miquissone ndio watakao amua mechi ya leo kwa Kaizer Chiefs Vs Simba Sc.

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari.

Kukiwa yamebaki masaa machache kushuhudia mtanange wa Kaizer Chiefs Vs Simba Sc.

Kuna hawa wachezaji kwa pande zote mbili wamekuwa na viwango vizuri kwa kila kwenye timu wanazozitumikia.

Khama Billiat hakuna mtu asiyejua uwezo wake Africa ni mchezaji mzuri sana na anayenyumbulika vyema sana japo ana umbo dogo ila ni mithiri ya nyoka kwenye nyasi kwa namna anavyoteleza kuchambua defenders.

Ni mchezi anaetumia akili zaidi kuliko nguvu akiwa uwanjani hivyo kwenye mechi hii, ni mchezaji atakaye onyesha soccer safi kwa wapenda soccer.

Kwa upande wa pili wa shilling kuna Luis Miquissone ambaye nae hadi sasa amekuwa na kiwango bora sana.

Maana ni mchezaji anayejituma kweli kweli kwa timu yake. Na amekuwa na record nzuri kabisa hadi kwa wakati huu kwa Simba Sc hadi walipofika hatua hii.

Kwa ufundi wa Luis Miquissone vile vile defenders wa Kaizer Chiefs watapata changamoto za hapa na pale kudhibiti mchezaji huyu.

Kwahiyo tunategemea kandanda safi kwa timu zote mbili ila kutakuwa na soccer bora kutoka kwa wachezaji hawa, Khama Billiat na Luis Miquissone.

Na ndio wataamua matokeo kwa timu hizi kwa nani atafuzu na kwenda hatua inayofata Kaizer Chiefs/Simba Sc.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu

View attachment 1785360
 
Hujawahi tabiri kitu KIKAWA. Mtabiri TAMBITAMBI

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Siyo dhambi kuwatakia ushindi wa nyumbani hao Kaizer Chiefs wa goli 3 - 0 dhidi ya hao wapinzani wao!
 
Back
Top Bottom