Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Nachukulia kisa hiki PaleKarne ya Sita Papa Aliyejulikana kwa Jina la Mercurus alipobadili Jina lake na Kujiita Yohana wa II Hii ni baada ya kuaminika Mercurus alikuwa ni Mungu wa Kipagani wa Kiroma!
Vivyo Hivyo katika maisha yetu ya kawaida tumeshuhudia mara nyingi watu wakibadili majina yao na kukutana na mafanikio!
Jina linaweza kubeba baraka au laana, kuwa na nyota kali au hafifu pia, kama vile watu wenye majina kama Shida, Masumbuko, Mashaka.. wakiwa na maisha yanayofanana na Majina yao..
Kubali au Kataa katika Maisha yako kuna uwezekano mkubwa kutofanikiwa kwako kunatokana na Jina unalotumia, maybe jina limekaa katika muundo usio rafiki kuwa maarufu au jina halivutii hata kama ni zuri kiasi gani.. Nadhani hii ndio maana hata wasanii huachana na majina yao Official na kuwa na Majina ya Kisanaa na wametokea kufanikiwa saana..
Mimi Hapa nina Jina langu zuri tu la Kimagharibi, ila watu wakatokea Kunibatiza Jina Hili Khan.. na Kila mtu anayesikia jina Khan amekuwa akivutiwa nalo sana.. wengine waliokuwa wakifahamu jina langu Official baada ya kusikia Khan wakaamua waachane na Jina Official wakidai halina amsha amsha!
WanaJF kama ushaona sintofahamu yeyote katika Jina lako Jaribu kubadili.. utaja Ona Matokeo...
Je wewe MwanaJF ulishawahi badili jina ukaona Matokeo Mazuri? tupe ushuhuda wako Hapa!
Divine Khan !