KHANGA CHUPI original,

sony wega

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
234
Reaction score
35
Habari wanajamvi nadhani mm ni mgeni sana ktk jukwaa hili na uhisianao na mapenzi bila kukosea ila nafurahi kujoin na watu mbali mbali ktk kuelimishana na kukosoana na vile vile kupatanisha ktk nyanja yote ya mapenzi na mahusiano sasa mm nakuja tofauti kidogo kwani kuna stori ambayo niya kweli kabisa kwani tayari nimeshaianza kusimuliwa na mhusika mwenyewe na huyo ni mwanamme ila ni choko (shoga) na anaelezea jins alivyo anza huu mchezo na amenilezea kwa kiirefu ila kutokana na uwonga wake ktk kunieleza ilinibidi nimpe kitu kidogo kwani alikuwa hataki kunisimulia kwasababu maneno yake nilikuwa narecord akahis kuwa labda ntamtangaza ktk jamii lakini nilimtoa hofu na tukakubaliana kuwa atanieleza yote kisa cha kuingia ktk ushoga na masara yake kwahiyo wanajamvi nimekuja itro ya jina hapo juu kwani story yoote kwa vipande vpende huku ikiwa na mwendelezo vitakujia kuanzia kesho jumatatu na kuendelea na hayo tu wakuu
 
Hukuhitaji intro, ungeweza kuanza kesho hiyo hiyo!

Anyway karibu mum!
 
Hukuhitaji intro, ungeweza kuanza kesho hiyo hiyo!

Anyway karibu

ok ila nimeambiwa ktk hili jukwaa mapunga yapo sasa nahis wewe umevutiwa na hii story safi guy we subiri kesho na ukae mkao wa kupakuliwa hapani shaka
 
ok ila nimeambiwa ktk hili jukwaa mapunga yapo sasa nahis wewe umevutiwa na hii story safi guy we subiri kesho na ukae mkao wa kupakuliwa hapani shaka
Ushaanza kuharibu sasa! Punguza maneno ndugu! Nani akae mkao wa kupakuliwa?
 
Mapenzi jinsia moja mwiko JF. Hiyo story kamusimulie demu wako.
 
ok ila nimeambiwa ktk hili jukwaa mapunga yapo sasa nahis wewe umevutiwa na hii story safi guy we subiri kesho na ukae mkao wa kupakuliwa hapani shaka

jombaaa....angalia vizuri bana.....unavyokuja sivyo......
 
hio stori usiilete huku kaa nayo nenda kawasimulie wenzako huko kwenu
 
:flypig::flypig::flypig::flypig::wacko::wacko::flypig:
 
Unamaneno mengi sana halafu ya kishoga shoga,sema tu kama unatafuta mtu wa kukuliwaza na sio kuanza kujishuku kwa kuhisi unachat na mapunga wenzio
 
wewe huku kuna wanaume wanaodinda na wanawake wanaodindiwa!stori za kipunga peleka huko huko ulikozitoa!hamna mtu anapumulia mwanaume mwenzie mgongo hapa!
 
Mapenzi jinsia moja mwiko JF. Hiyo story kamusimulie demu wako.

na kuanzia sasa mtu yoyote yule anaeleta story za sex kabla ya ndoa mwiko kabisa hapa JF. tutawashauri wale ambao ni wanandoa.
 
Kwanza ninamashaka na elimu yake. Maelezo mengiii hakuna alana ya mkato waka nukta, sijui ni uandishi gani huo..!!
 
Wakati unalete hiyo stori yako usisahau kueleza mlikuwa wapi na huyo mhojiwa wako, mkifanya nini? na kwa nini? mlianza vipi na kukutana wapi?
 
wewe huku kuna wanaume wanaodinda na wanawake wanaodindiwa!stori za kipunga peleka huko huko ulikozitoa!hamna mtu anapumulia mwanaume mwenzie mgongo hapa!

Hapo kwenye red, Kwani wanawake hawadindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…