Khanga party photos

mfukunyuzi

hii shughuli ilifanyika wapi?
 
Mfukunyuzi naona na wewe ulikuwepo na batiki lako
 
mie hizo style za kanyelea humo humo tu ......kaa baby's diaper! :smile-big:
 
iLA HALIJAPENDEZA UFUNGAJI WAO WA KHANGA SIO MZURI HAKUNA JIPYA
 
UKIVAA KANGA HUTAKIWI KUVAA CHUPI...! USHAMBA TU..! kaaaaa:mad2::mad2:
 
Hizi hela ama zinatafutwa kwa nguvu na jasho!
 
siku hizi hata bongo kuna watu na tramp stamp! kazi kweli kweli
 
Natamani wafanye hivi mbele ya Slaa(atazoa wengi mwaka huu)teh,teh,teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…