Khanga party photos



sasa hii si nepi kabisa hii!
huu uchuro maana najua mtu mzima anayevaa nepi ni yule anayeendesha kwa kuadhirika na kale kaugonjwa ketu, sasa mtu timamu kabisa ukajivalishe KANYELAMUMO huku ni kulinajisi vazi la kanga lenye heshima zake!
 






very innocent!!! waiting for your votes!!!
 
Uzuri wa kanga ni all weathers haibagui ukitaka nyeahumohumo mwake, ukitaka kanga moja iliolowana utamu wote nje, ukitaka kama vazi rasmi la kutokea mwake...
 
Hivi madhumuni ya Khanga PARTY ni nini haswa? Tujuzane wakuu.
 
Hawa watu wana akili timamu kweli? Au walikuwa Under Influence?
 
Picha ya kwanza na ya pili mdada kapendeza sana na viatu na handbag bluuu
 


sasa hii si nepi kabisa hii!
huu uchuro maana najua mtu mzima anayevaa nepi ni yule anayeendesha kwa kuadhirika na kale kaugonjwa ketu, sasa mtu timamu kabisa ukajivalishe KANYELAMUMO huku ni kulinajisi vazi la kanga lenye heshima zake!

Umenifurahisha kweli, hii ni lugha gani? kindamba?
 
Sasa hapa DR. Slaa kaingia vipi? By the way hiyo khanga party ilikuwa sehemu gani?
 
Nakumbuka cilinton aliekuhttp://3.bp.blogwa spot.com/_2yv4RHXgA1o/TFhEVBCQWQI/AAAAAAAAA78/dhEkDOvvhLo/s1600/38544_10150226845995691_853815690_14091768_2518126_n.jpg[/IMG] [/QUOTE]
PHP:

Nakumbuka Clinton aliwahi kusema watu wa nchi zaulimwengu wa tatu wasige mila za magharibi na ulaya
sasa hii imekuwaje tena kanga nivazi la heshima kinamama wa Africa tunalipeleka wapi hili vazi wageni wakifika huku wananunua ganga na vitenge nyiyi mnalibadli kwamakusudi samaniyake hivi hizi njaa zenu msipo sema nazo mtaambiwa hata kulakinyesi mtakubalitu kwakua inalipa watu wanabuni njia za ajabuajabu kutafuta pesa na jamii inafatatu badala ya kukemea mambo haya kweli tumekwisha:doh::doh::doh:
 

Hivi Slaa anahusikaje hapa???

Watu wengine bana.....
 
utamu huu cku hizi unafanyika kimya kimya tujuzane unapowadia wakt nasi tukataradad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…