Viwanda vya hapa nchini wagumu sana kutoa 10% wewe unafikiri akina Makamba, Amos Makalla watakulaje?
Bora wawapelekee wa China huko sio wazito kutoa 10%
Nani anayesababisha kupanda kwa gharama za uendeshaji nakwa kuchapisha nje ndiyo wamevisaidia viwanda kupunguza gharama. Viongozi wetu tukiri ni mbumbumbu wanafikiri viwanda vitajiendesha bila kupata tenda kama hizo. Basi tufunge shule na viwanda kama tunadhani vya nje ni cheap. Wanashindwa kuelewa ni cheap kwa leo lakini ni expensive kwa kesho.vipo lakini ni very expensive kutengeneza khanga na vitenge ukilinganisha na singapore, china, cambodia etc. the main reason ni kwamba sisi hatuna umeme ulio robust [pesa zote ndo hizo wanakula na ndugu zao], pia kodi za malighafi ziko juu na generally we like buying from outside hata kama ni malawi...
wewe unadhani ulaji wa kampeni menejaz unatoka wapi? si ndo vitu kama hivyo?
Kwenye issues kama hizi zinazohitaji data ni bora ukawa hutoi comments utaharibu hata hicho kidogo walichonacho CCM, wewe saizi yako ni kwenye umbeya unakufaa sana.Mkuu zimeishatolewa acha uongo
Akili za kichina, mawazo ya kichina, makalio ya kichina khanga, fulana na mabango ya Kichina. Ndio maana hawajui kwanini Tanzania ni nchi masikini licha ya kujaliwa rasilimali kibao.
marando alishindwa kukomboa mzigo kama huo toka afrika kusini those days
Bado kuna mizigo yenu imebaki bandarini inadaiwa kodi.