Khasheem Thabeet huyoo EBSS

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
baada ya kutamba huko majuu mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu Hasheen Thabeet sasa awa Judge EBSS 2013
Je! Nipicha gani unayoipata toka kwa Thabeet
 
Fafanua walau kidogo maana wengine habari za mbele kidogo huwa hatuzipati kwa wakati
 
Ngoja tuone itakavyokua, "don't judge a book by its cover"
 
Ndio hivyo tena NBA imemshinda acha afanye kazi za kibongo bongo...

Ila yule Madam Ritta anavyopenda vijana na Hasheem ni mrefu so kwa vyovyote vile ana dushelele la haja, kazi ipo hapo kwa Madam na Hasheem.
 
ha ha ha ha
 
Haa haa haaa umeua Mkuu.
 
globu ajaua kamaliza
nimjuavyo paka hashim karuhusiwa lo napita
 
So kaongezwa as a judge?MJ,salama still in au katemwa mtu?ivi Hasheem ana idea ya music??😕
 
madamme anaiwinda ndunde ya hashimu
 
baada ya kutamba huko majuu mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu Hasheen Thabeet sasa awa Judge EBSS 2013
Je! Nipicha gani unayoipata toka kwa Thabeet

Ndo tunapokosea wabongo ktk majaji wote wenye idea ya Music ni Kitime na Mj.
 
😕😕:thumbdown::thumbdown::banghead:
 
..kibongo bongo kitu chochote mbona unafanya tu hata km hauna ujuzi nacho
 
Madame ni noma! Hapo kajipa pasi halafu golini hakuna kipa kwa nini asibutue!!!!!
Watu wote ni kunyenyuka kwenye viti na kushangilia!!!
Weweeeeeeeee!!!!!!!!
Kibongo bongo ni majanga tu hapo!
 
Lisemwalo lipo Kama halipo linakuja
 
==> Huyu naye Ritha...Ufuska utamuua....kwa nje anajidai ana heshimaaaa...kumbe...ndani....used too much.... nothing she has, malaya ni malaya tu...shit..
 
==> Huyu naye Ritha...Ufuska utamuua....kwa nje anajidai ana heshimaaaa...kumbe...ndani....used too much.... nothing she has, malaya ni malaya tu...shit..
 
==> Huyu naye
Ritha...Ufuska utamuua....kwa nje anajidai ana
heshimaaaa...kumbe...ndani....used too much.... nothing she has, malaya
ni malaya tu...shit..

mkuu kwani ufuska wa huyu mama wewe umeuthibitisha? jeje ni msafi sana? au kwa kuwa hujulikani?
 
Dah sipatii picha hilo rungu la Hashim wanalimudu vp,wanawake noma sana.Ka Jokate ukikaangalia kwa nje unaweza ukakachukulia poa,lakin kaliweza kuzamisha Rungu la huyu jamaa.Kila la kheri Madam kwenye mapambano dhidi ya rungu
 
kwamba hashm atam fuack rita..!!! Never..it'll be shame to NBA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…