Hizi ni taarifa za uhakika nilizopenyezewa na mdau wangu wa Katibu kutoka Ndani ya chama. Nitaendelea kushushia nondo kadiri zitakavyokuwa zikinifikia.
Mtakumbuka kuwa Mara baada ya Kheri James kushika kijiti cha kuiongoza uvccm, aliunda kamati ya kuhakiki Mali zote zinazomilikiwa na uvccm!
Tayari kamati hiyo ilishaanza kazi kitambo na kwa taarifa za awali imebainika kuwa Shaka akishirkiana na aliyekuwa mwenyekiti wa Uvccm ambaye siku za hivi karibuni alikamatwa kwa tuhuma za rushwa, walishirikiana katika kuhujumu baadhi ya mali zanazomilkiwa na taasisi hiyo ya vijana!
Katika kikao cha dharura, kilichofanyika siku za hivi karibuni pamoja na mambo mengine ilijadiliwa kuwa kama itabainika pasi na shaka kuwa Shaka na wenzake walihusika katika hili, mwenyeketi wa sasa alishauri wahusika wasimamishwe uongozi akiwemo bwana Shaka
Stay tuned! Taarifa zingine zitakujia katika kikao kingine kitakachofanyika wakati wowote kuanzia sasa