Kwa mujibu wa Mamlaka ya serikali ya Mfalme wa Saudi Arabia waislamu wa Saudi Arabia na nchi zinazofuata mwezi wa kimataifa wataanza kufunga swaumu kuanzia kesho tarehe 13/04/2021.
Kwa mujibu wa mufti wa Tanzania, waislamu wataanza kufunga tarehe 14/04/2021.
Nachukua fursa hii kuwatakia mfungo mwema wa ramadhan, kheri na baraka ziwafikie wana JF popote walipo.