KHERI ya kuzaliwa Kipenzi changu Binti Kimoso

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Kheri ya kuzaliwa Binti Kimoso!

Mungu akupe maisha mazuri yenye KHERI nyingi Sana katika mapito yako.
Kwangu umekuwa Baraka Sana.
Wewe ni Mama wa Watibeli.
Watibeli wanajivunia kuwa na mama kama wewe.

Nakupenda Sana Binti Kimoso.
Binti Kimoso ni Mmoja tuu.
Mtoto mzuri kila idara.
Mwaah!
 
Mkuu, naomba unikaribishe kakikua nikaone au kama tayari tumalize mchezo mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…