KHERI ya kuzaliwa Kipenzi changu Binti Kimoso

Weka namba zake tumuwish na kutuma zawadi Kaka Kwa shemeji yetu

πŸ˜‚πŸ˜‚
Humu JF kuna wahuni walimuungia tela, malalamiko kibao. Oooh! Huyo mshikaji Hana lolote. Oooh! Huyo jamaa yako Kwanza anakandia wanawake Kila siku.(Wanatuma na nyuzi kadhaa nikiwakandia wanawake), oooh! Nitakununulia gari.

Wahuni sio Watu. Yaani wamenisagia Kunguni balaa
 
Hahahaha mkuu wewe mkaze vzr huyo binti hatodanganyika mkuuu
 
Hahahaha mkuu wewe mkaze vzr huyo binti hatodanganyika mkuuu

Watibeli hatupo hivyo.
Hatuna Mamlaka ya kuzuia Uhuru wa watu wengine ikiwemo Wake zetu
Wakitumia Uhuru wao Kwa namna inayoathiri furaha yetu tunatoa Talaka kwa moyo mmoja
 
Watibeli hatupo hivyo.
Hatuna Mamlaka ya kuzuia Uhuru wa watu wengine ikiwemo Wake zetu
Wakitumia Uhuru wao Kwa namna inayoathiri furaha yetu tunatoa Talaka kwa moyo mmoja
Hahahaha Kwa hiyo mkuu akigawa mbususu kisiri Siri it's okay

Ukijua tuu msala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…