Denis Phombeah kutoka Nyasaland TANU Card No. 5 Dome Okochi Budohi Kutoka Kenya Card No. 6
Nyumba ya Abdul Sykes aliyoishi Mwalimu Nyerere alipoacha kazi.
Huu pande wa kulia Sikukuu Street ndipo alipokuwa akikaa Abbas Sykes akampisha Nyerere.
Nyumba kubwa aliyokuwa akiishi Abdul Sykes ni upande wa kushoto Stanley Street.
Nyumba ya Abdul Sykes kama ilivyo hivi sasa baada ya kuvunjwa ile ya zamani katika na kujengwa gorofa hilo.
Picha hii ni katika miaka ya 1950 wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika wa kwanza kushoto waliosimama ni Abbas Sykes chini yake waliokaa wa kwanza kushoto ni Dossa Aziz na wa sita ni Julius Nyerere.