Lamar afadhali kaamua kujiongeza tu,
Ile familia inaishi kwa maigizo sana,Khole hana msaada kwa Lamar kama mke anachofanya ni kumtumia tu jamaa kuingiza pesa
Kanye West naona kaamua kuwakomalia,kagoma kuonekana kwenye reality shows zao yeye na mwanae,na mbona hawaja-complain?!