Nsumba-ntale
Member
- May 24, 2026
- 15
- 80
Lazima haki ishindeUkiangalia hali na mwenendo wa siasa za Tanzania, hususani inavyochukuliwa na wenzetu huko ughaibuni, ni wazi viashiria vya mageuzi ya kulazimishwa, vinamea
Wanao sababisha viashiria hivyo kumea ni Mange, Maria na wenzao wasio choka kushirikisha taarifa ima hasi ama chanya zihusuzo matukio yaendeleayo nchini Tanzania
Wengi kwa mfano, waliwabeza na hata kuwa tweza hao ndugu kwa walichokifanya na wanacho endelea kukifanya. Mda mrefu ndugu zetu hao wamekuwa wakihanikiza Nchi za Ulaya na mshirika wao Amerika, waishinikize Mamlaka ya Tanzania iwajibike kwa matendo yake wanayo-yaona ni kinyume cha haki za kibinadamu
Nionavyo, dhahili wapambanao wanaelekea kufaulu kwa wanacho kisimamia. Kwa Nchi za magharibi kuanza kuonyesha nia ya kuitungia sheria na vikwazo Nchi ya Tanzania, tayari kelele zao zimeshasikika na kufanyiwa kazi
Wahenga walinena, hata mbuyu ulianza kama mchicha, wasipuuzwe!
HahahaKuna uyu boya ataabza na gentleman....blah blah blah
Wewe mwenye akili umefanya nini ktk harakati hata sasa?!Na wangekua na akili, muda mzuri wa kurudia maandamano ni sasahivi.
Tuone tena kama serikali itakua na kibri cha kuzima mtandao au kupiga watu risasi.
Agenda za maandamano ziwe kudai maisha ya waliouliwa, kufree lissu, polepole na wengineo pamoja na katiba mpya na kurudia uchaguzi
Nimekufira.Wewe mwenye akili umefanya nini ktk harakati hata sasa?!
Dunia inabadilika ,usipobadilika itakubadilisha kwa lazima,hizi si zama za maweUkiangalia hali na mwenendo wa siasa za Tanzania, hususani inavyochukuliwa na wenzetu huko ughaibuni, ni wazi viashiria vya mageuzi ya kulazimishwa, vinamea